Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Juventus dakika ya 84 ikitoa sare ya 1-1 na Torino ambayo ilitangulia kwa bao la Sasa Lukic dakika ya 18 katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Juventus tayari wamejihakikishai ubingwa wa Italia, wakati Torino wanapanda nafasi ya sita kwa sare hiyo huku Ronaldo akifunga bao la 100 kwa kichwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 sasa ana jumla ya mabao 601 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2DLvqoA
No comments:
Post a Comment