Wednesday, 1 May 2019

MESSI APIGA MBILI CAMP NOU BARCELONA YAICHAPA LIVERPOOL 3-0

Muargentina Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 75 na 82 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Liverpool usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Bao la kwanza alifunga mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay, Luis Suarez akiiadhibu timu yake ya zamani dakika ya 26 na sasa Liverpool watatakiwa kushinda 4-0 Mei 7 Uwanja wa Anfield ili kupindua matokeo waende Fainali ambako watakutana na mshindi wa jumla kati ya Ajax na Tottenham 


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2Lr50Po

No comments:

Post a Comment

Vaal Best Bets Thursday 9 May 2019

Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on  Thursday, 9 May 2019 . Comments and betting and silks are provided! Tips p...