Thursday, 2 May 2019

LIVERPOOL WAREJEA VICHWA CHINI BAADA YA KIPIGO CHA JANA

Wachezaji wa Liverpool, beki Virgil van Dijk na mshambuliaji Sadio Mane (kulia) walipowasili Liverpool leo kutoka Barcelona ambako jana walifungwa 3-0 na wenyeji Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitarudiana Jumanne ijayo Uwanja wa Anfield 


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2GYzfJ7

No comments:

Post a Comment

Vaal Best Bets Thursday 9 May 2019

Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on  Thursday, 9 May 2019 . Comments and betting and silks are provided! Tips p...