Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 62 ikiilaza Levante 1-0 Uwanja wa Camp Nou na kujihakikishia taji la pili mfululizo la La Liga na la nane ndani ya misimu 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2UZ5vEu
No comments:
Post a Comment